moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Poa tu[emoji41]Habari za muda huu Wakuu
CantstopwontStop
[emoji3][emoji3] [emoji3] [emoji3]Hakuna msaada mbaya...
Duu, wapi hiyo?Nakumbuka mwaka 2007 nilienda hospitalini kumtembelea mgonjwa wangu,halafu pembeni yake kuna babu alikua anakaribia kukata roho,dah alitaja ubaya wote aliokua anaufanya pamoja na list ya watu aliowaloga,watoto wake wanamziba mdomo lakini anawakataza mpaka amalize kutaja
Kwema?Jukwaa limetulia
Mi nina visa viwili vinafanana na hivyo, vinasisimua sana, mwishowe mmoja wao maiti yake ilitafunwa na simba makaburini siku 2 baada ya kuzikwa kwakeNakumbuka mwaka 2007 nilienda hospitalini kumtembelea mgonjwa wangu,halafu pembeni yake kuna babu alikua anakaribia kukata roho,dah alitaja ubaya wote aliokua anaufanya pamoja na list ya watu aliowaloga,watoto wake wanamziba mdomo lakini anawakataza mpaka amalize kutaja
Usangi wilaya ya mwanga mkoo wa Kilimanjaro
Tueleze ilivyokua mkuuMi nina visa viwili vinafanana na hivyo, vinasisimua sana, mwishowe mmoja wao maiti yake ilitafunwa na simba makaburini siku 2 baada ya kuzikwa kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji203] [emoji203] [emoji203] [emoji203] [emoji203] [emoji379] [emoji379] [emoji379]Aisee
nguruwe pita leo sina mkuki
naomba usinidhuru tu