Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tofauti kati ya yai la kuku wa kienyeji na la kuku wa kisasa✔
Kilishe mayai yote ni sawa. Virutubishi vinavyopatikana kwenye yai la kuku wa kienyeji kama protini, vitamini A, madini ya chuma na virutubishi vya aina nyingine, ndivyo hivyo vinavyopatikana pia kwenye yai la kuku wa kisasa.
 
Mi nina visa viwili vinafanana na hivyo, vinasisimua sana, mwishowe mmoja wao maiti yake ilitafunwa na simba makaburini siku 2 baada ya kuzikwa kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Simba walienda kufukua?
Au nguvu za upande wa pili zilihusika?
Mana hatari hiyo sijawahi sikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo linaweza kutokea pale ambapo wafugaji wa kuku wa kisasa hawafuati taratibu za ufugaji na pengine hawawapi kuku vyakula muhimu wanavyohitaji au wanawapa dawa na vyakula visivyo bora kiafya, hivyo wakati mwingine kiini cha yai la kuku wa kisasa huonekana kupungua rangi ya njano kuliko kiini cha yai la kuku wa kienyeji.
 
Shemejiii umeshusha uumbaji wa Bwana hadi nimetoa miwani ya macho ili niangalie vizuri.Wanaume tuache kiburi,tumeumbiwa faraja za kila aina[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani hivi nimeshikilia kichwa changu
Mkuu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
a0fa032f7c5b79b7a60e18d858059d68.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom