Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

GERMANY.


germany-flag-picture-id479585277
 
Ujue na ufahamu mfumo wa Moyo✔
@UJUE NA UFAHAMU MFUMO WA MOYO (CARDIOVASCULAR SYSTEM)

Mfumo huu wa moyo una kazi zifuatazo:-

kupampu damu Mwilini pia kusafirisha gas, taka na homoni mwilini.
kuongoza mfumo mzima Wa umeme mwilini.
mfumo Wa kujilisha wenyewe na kulisha mwili.

Lakini katika kuyafanya yote haya mambo mengi hutokea ambayo yanasababisha Moyo ushindwe kufanya kazi vizuri na mambo hayo ni kama:-
 
umri
mambo ya kurithi
aina halisi ya maisha.
jinsia
uvutaji Wa sigara.
kisukari
lishe

Pia Kwa mwili wa mwanadamu kuna kolestro (mafuta) nzuri na mbaya
Kolestro nzuri inahitajika sana mwilini na mbaya haihitajiki mwilini.
Hizi ni Bidhaa ambazo ukizitumia zitakusaidia kuimarisha vizuri afya yako ya Moyo na kukuweka katika nafasi nzuri ya kutoweza kupata madhara yoyote yatakayopelekea Moyo kushindwa kufanya kazi yake.
 
Back
Top Bottom