Unapika usiku wa manane
Leo kweli usingizi wa mgao[emoji23][emoji23]Siwezi kukukimbia we mwenyewe wajua nini kilichonisha toka mwanzo[emoji6] [emoji6] [emoji6]
We mfata ubuyu tu[emoji23][emoji23][emoji23]kukimbiza mwizi bhana
Nipo hapa huwa nakula baada ya kula vyakula vyetu hiko ni kama kinywaji tunaongezea tuNani huwa hali chips humu?
Subiri nije dirishani kwako nifate ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mfata ubuyu tu
Hii kitu inaraha yake bhanaAcha chips ziitwe chipsView attachment 579346
Inamaana huwa unakulaNipo hapa huwa nakula baada ya kula vyakula vyetu hiko ni kama kinywaji tunaongezea tu
Hata mimi bado nipo dillemaEeeh KK mimi nikitende wewe kweli??naanzaje kwa mfano
SanaHii kitu inaraha yake bhana
Safi kabisa hadi ibaki 0% nifurahiHahahaha 5%
Safi kabisa hadi ibaki 0% nifurahi
Huko kwenu si nasikia mkikamata mwizi huwa hampigi mnamsema tu na kumsuta[emoji23] [emoji23] [emoji23]Achana na nguvu ya jibapa kabisa
Nimepata ujasiri wa ajabu[emoji23][emoji23][emoji23]