Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rosti ya kuku wa nazi na maziwa
Mahitaji
Kuku-1/2
Nyanya 4
Sour cream (au Maziwa ¼ lita)
Nazi ½ kifuu
Kitunguu 1
Curry powder kijiko 1 cha mezani
Chumvi kijiko kidogo cha chai
Kitunguu swaumu 1
Tangawizi 1
Carrot 1
Viazi mviringo (Uiaya) 3
Pilipili hoho 1
Limao (au ndimu) 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…