carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaani acha kabisa hapa nashindana na usingiziSalama kabisa carba.... Naona leo upo lindo
Kwakweli yaani nahisi nkitoka kitandani nakwenda kutafuta hiyo makitu[emoji39]Yummy kwa sikukuu
Mh, cole anajua hili?Kuna mambo tunazungumza na carbamazepine
Andaeitini anakuja na kusepaNaona unasaidiana na andaeitini hahahha
Hii ndoa achana nayo kabisa[emoji23][emoji23]Kumbe amekuja kufanya yake huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Agenda muhimu kulikuwa na kikao cha dharulaHivi leo kuna kikao cha wanga humu ndani? Naona wako wengi kweli kweli leo! [emoji3][emoji3]
Kwakweli yaani nahisi nkitoka kitandani nakwenda kutafuta hiyo makitu[emoji39]
Amu gudi kwakweliAmu faini, whati abauti yuuu.
Naona unasaidiana na andaeitini hahahha
Labda anaandika notice hahahhaAndaeitini anakuja na kusepa
Usingizi wa mgao[emoji38][emoji38][emoji38]Hivi leo kuna kikao cha wanga humu ndani? Naona wako wengi kweli kweli leo! [emoji3][emoji3]
Mbona alikuwepo humuMh, cole anajua hili?
Kwa kumbato mubashara tu. [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]unaniachaje sasa
Na wewe ndo mwenyekitiAgenda muhimu kulikuwa na kikao cha dharula