HahahahaItakuwa anafanya homuweki[emoji16][emoji16]
HahahahaItakuwa anafanya homuweki[emoji16][emoji16]
Nalemola sanaHi dear.... gudi moningi
Olemola[emoji23] [emoji23]
MwehHalitoshi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uuuuwiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]ulikuja kumfumania au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha tena ungejua nimekuja muda ila nilikuwa nawaangalia tu. Tangu andjul anapost picha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hafai kabisaUnaroho mbaya wewe[emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Maana.zizi lake linavamiwa balaa ila jamaa yuko busy na misemo tu hahahah
Wazee wa misambwanda hahaha shauri yako ngoja shule ikushindeHawa wahenga walishakwepa mishale mingi! Wanaweza kukupa maarifa na mauzoefu ya kupambana na mambo mengi! [emoji3][emoji3]
Asubuhi njema tu nalala hivo hivo tuUsiku mwema kk
Ushaanza kula bangi eeeh
Hahahah Bob nae nahisi yuko mbioni unless awe ashapata lile busha.Mana tuko wengi humu hadi raha
Sasa hivi myoya atakuja humu tuongezeke
Mh, ila una mme mpole hadi raha hahahHayo mengine tuachie wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuongeza na tabasamu mubashara[emoji6] [emoji6] [emoji6]Weweee unaniachaje kwa mfano[emoji35][emoji35]