myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Upendo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anasema leo yuko night[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi mm popo, maana ndio zao kukesha hahah
[emoji5] hata hivyo weekend imeanzaYaani acha kabisa hapa nashindana na usingizi
Nilikuwa nasubiri tu ajichanganye aone moto wakeUuuuwiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]ulikuja kumfumania au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku ndio kwanza pamekuchaAsubuhi njema tu nalala hivo hivo tu
Atakuwa kapiga cha arusha kbsUshaanza kula bangi eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado tu huko huku shangwe tukisikia 0% huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Betr yangu original 2%[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha umekuja eeeh.Siku iwe njema
Nini wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweh
Wazee wa misambwanda hahaha shauri yako ngoja shule ikushinde
Nimekesha kutafuta mualiko nimetoka patupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie tunatafuta mualiko[emoji23][emoji23]
Wengine leo job km kawaida tuSikukuu njema kwenu
Unawahi wapiAsubuhi njema tu nalala hivo hivo tu