carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Umeamkaje jiraniSiku iwe njema
Umeamkaje jiraniSiku iwe njema
Ndio adhabu aliyoahidiwa hahahMbona wamuombea busha mwenzio lakini[emoji23][emoji23]
Cc:Bob12
Na kwako piaSikukuu njema kwenu
carbamazepine bundiBasi mm popo, maana ndio zao kukesha hahah
Unataka awe mkorofi kama yule wako[emoji23][emoji23][emoji23]Mh, ila una mme mpole hadi raha hahah
Kwendaaaa[emoji23][emoji23]Nakuongeza na tabasamu mubashara[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Nasubiri ifike 0% unipe mrejesho nisepe ikiwa inazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na andaeitini atakuwa bundiBasi mm popo, maana ndio zao kukesha hahah
Kuna wakati inabidi iwe hivyo tu, maana ukikomaa sana kukataa inakuwa si poa. Acha washerehekee tu nafis zao ziridhike,najua ipo siku na mm watanishikia.Si wa mchezo mchezo aiseeh
Kwa afya[emoji23]Ushaanza kula bangi eeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
05:28,05:18
Weekend yenyewe ya kichina hii utashangaa mara paaap jumatatu hiyo[emoji5] hata hivyo weekend imeanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aibu yako kwakweliNilikuwa nasubiri tu ajichanganye aone moto wake
Mbona wamuombea busha mwenzio lakini[emoji23][emoji23]
Cc:Bob12
Hujambo..Eid MubarakaMana tuko wengi humu hadi raha
Sasa hivi myoya atakuja humu tuongezeke
Mhenga wa misambwandaUnataka awe mkorofi kama yule wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha na ninaunganisha hadi mchana, si unajua leo sikukuu. Ndg zetu hawa wameniomba niwashikie. Pakikucha naoga, saa mbili nashika tena zamu hadi saa nane.