Pole sana mkuuWengine leo job km kawaida tu
Hata shemeji yangu mough nae nahisi yuko mbioni kuja.Ndio mida yake hii
Mzee wa liver nae yuko njiani mana isis kashaingia
Kazuri kwakweli kanavutiaView attachment 579379
Haka ka backpack unahifadhi vikolokolo vyako vyote vya kuwangia! [emoji3][emoji3]
Numbisa ndio aliachiwa uenyekiti na yule wa kujifanyia interviewNa wewe ndo mwenyekiti
Umeona eeeh? Bora zibaki wkend tu.Kumbe tunafanana tu aaaggrr[emoji34][emoji34][emoji34]sikukuu zifutwe tu
Sasa ole wako useme[emoji23][emoji23][emoji23]nakupasuaWala mi nilikuwa napita tu nikajikwaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ndoa achana nayo kabisa[emoji23][emoji23]
Me mbona sikaribishwi[emoji23][emoji23][emoji23]Karibu tukuyu kwa mzee wa misambwanda
Nafuu ..kwako jeUmeamkaje jirani
Hi IsisGood morning my dear
Kumbe tunafanana tu aaaggrr[emoji34][emoji34][emoji34]sikukuu zifutwe tu
We zifutwe?????Umeona eeeh? Bora zibaki wkend tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BAK sikuwa na maana hiyoKumbato mubashara halitoshi! Shurti...... hii ni kauli ya carbamazepine kheeee kheeeeeee
Mualiko umepata?[emoji28][emoji28]Unataka mchana niwe nimeshiba usingizi badala ya chakula[emoji23] [emoji23] [emoji23]