Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
carbamazepine huwa hajui hivi vitu anakuta mezani tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchana ntaleta pilaussss
carbamazepine huwa hajui hivi vitu anakuta mezani tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchana ntaleta pilaussss
Hahaha na ninaunganisha hadi mchana, si unajua leo sikukuu. Ndg zetu hawa wameniomba niwashikie. Pakikucha naoga, saa mbili nashika tena zamu hadi saa nane.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitakuja kukuchua pale uje kupaonaNikumbushe tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah umevurugwa ww sio bureBado tu huko huku shangwe tukisikia 0% huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ikizima usiache kunipa taarifa kuwa imezima [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si wa mchezo mchezo aiseehHahaha na ninaunganisha hadi mchana, si unajua leo sikukuu. Ndg zetu hawa wameniomba niwashikie. Pakikucha naoga, saa mbili nashika tena zamu hadi saa nane.
Wala mi nilikuwa napita tu nikajikwaaNini wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tukuyu kwa mzee wa misambwandaNimekesha kutafuta mualiko nimetoka patupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halitoshi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unataka mchana niwe nimeshiba usingizi badala ya chakula[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawahi wapi
Eid Mubarak
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa kapiga cha arusha kbs
Hata huku ila inabidi nilale tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku ndio kwanza pamekucha
Mbona wamuombea busha mwenzio lakini[emoji23][emoji23]Hahahah Bob nae nahisi yuko mbioni unless awe ashapata lile busha.