Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Saivi itakuwa tayari maumivu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaroho mbaya wewe[emoji23][emoji23]
Good morning Numbisa
Saivi itakuwa tayari maumivu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaroho mbaya wewe[emoji23][emoji23]
Ndio mida yake hiiHahahaha umekuja eeeh.
Cc Carba, maana alisema utakuja soon.
Eti kk keshasema bundi ni wwNa andaeitini atakuwa bundi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha tena ungejua nimekuja muda ila nilikuwa nawaangalia tu. Tangu andjul anapost picha
Mix na cha tarimeKwa afya[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole yako aiseehNimekesha kutafuta mualiko nimetoka patupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan we acha tuWeekend yenyewe ya kichina hii utashangaa mara paaap jumatatu hiyo
Kumbe tunafanana tu aaaggrr[emoji34][emoji34][emoji34]sikukuu zifutwe tuWengine leo job km kawaida tu
Kila abiria anachunga mzigo wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aibu yako kwakweli
[emoji818][emoji818][emoji818]Hahahah Bob nae nahisi yuko mbioni unless awe ashapata lile busha.
Yaani wewe iko siku nitakualika[emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa dharau hizi khaaacarbamazepine huwa hajui hivi vitu anakuta mezani tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naumiza kichwa sijui nikuachaje humuHalitoshi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hujambo..majirani hawajambo[emoji5] hata hivyo weekend imeanza
Yaan we acha tu, maana kulikuwa na mvutano kila mtu hataki basi nikaona isiwe shida hebu nikubali tu mm.Duh! Weye kiboko! Unatoboa usiku kisha unapiga masaa mengine hadi mchana! Ukifika home natumai utalala.
Leo utaomba poo aiseehHahaha na ninaunganisha hadi mchana, si unajua leo sikukuu. Ndg zetu hawa wameniomba niwashikie. Pakikucha naoga, saa mbili nashika tena zamu hadi saa nane.
Hahaha hv kk ukoje lkn?
Nitakusubiri kona[emoji23][emoji23]Nitakuja kukuchua pale uje kupaona