myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]Tatizo unazidisha usela sana
We kalale tu[emoji19][emoji19]
05:50
Aje tu atanikuta nimejaa teleMoud atakuja kukufuata humu[emoji38][emoji38]
Ila raha ya sikukuu kiukweli ukae nyumban na familia,sasa sikukuu kazini daahHahaha wala nilishazoea maana inatokeaga sana. Si unajua hawa ndg zetu dizaini km ni mwiko hv kuingia kazini siku za sikukuu. Km ilivyo kwetu kwa X mass na pasaka.
Hahahha fuata tu hata km wanakung'ataWanasema eti fuata nyuki ule asali!
Kaa kaa kidogo basi[emoji13][emoji13][emoji13]Basi poa.
Ila hebu niache niende duuh naona natoboa tu
Nitakaribia ila kwa masharti magumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lkn mwaliko nimekupa mm, sio yy
Hahahah loh,kwhy ww hata wkend hupumziki?Hata weekend sina faida nazo kwakweli[emoji34][emoji34][emoji34]
Ila raha ya sikukuu kiukweli ukae nyumban na familia,sasa sikukuu kazini daah
Nisikie sasa[emoji23][emoji23]Wala tena na mdomo nimeshajiwekea plasta kbs.
Mpe salamu [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Inawezekana mana kapotea ghafla
Weweee unaanza eeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo tu muulize carba wa kukaba watu[emoji23] [emoji23]
Aiseeh!acha zifutwe tu mana sina faida nazo tena kama vipi watoe hata weekends[emoji34][emoji34][emoji34]
Km ndio vya hivyo tena bora uache kuja. Ww umepata mwaliko na ww unaalika. Yaan umepewa lift unataka kupiga na honi?????Nimepata kwa nsamaka ila kufika huko labda unisindikize maana kuna mzee huko
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Weweee unaanza eeeh
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Kaa kaa kidogo basi[emoji13][emoji13][emoji13]
Mwanamke unaroho mbaya wewe[emoji23][emoji23]Hahahahha mama ww hapa utasubiri sana huu mwaliko na hutaupata. Yaan ni sawa na kusubiri maembe kwenye mti wa mwarobaini.
Nakuona mahudhurio yako pia si mabaya.