Hapa bado baba viv tu jamani, Bob come zis wei.Jukwaa limechangamka
Hapa bado baba viv tu jamani, Bob come zis wei.Jukwaa limechangamka
Hahahha fuata tu hata km wanakung'ata
Unachekelea mualiko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Welcome backAm back again
Kweli mkuu acha nikiamka balaa lake mtaani kwenye pilau litakuwa si la nchi katika mialiko[emoji23] [emoji23]Usingizi naona vidole vinateleza duh! Nikalale sasa nikiamka nikachangamkie pilau ya mwaliko.
Kumbe wewe ndo unamsaidia kuvunja mazizi ya watu eeh[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha aka baba viv, kanipa kazi ya kumtafutia mama vivi
Karibu mkuuAm back again
Hahaha mie ni mkristo wala hainipi shida, halafu nikitoka hapa nina visiku vya kutosha vya kupumzika.Ila raha ya sikukuu kiukweli ukae nyumban na familia,sasa sikukuu kazini daah
Hakika[emoji23][emoji23]Yeah, inakosekana tu sehemu ya kuchomeka ka ungo ka kurukia! [emoji3][emoji3]
Kweli, mwambie amalizie huto tu dakika tulitobakiKaa kaa kidogo basi[emoji13][emoji13][emoji13]
Ila umenipa company ya kutosha[emoji4][emoji4]kalale ukue eeh au urefuke[emoji23][emoji23]Nakwendaaaaa dogo naona umenikamata kweli humu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]wali au pilau[emoji23][emoji23]
Masharti tena?Nitakaribia ila kwa masharti magumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tupo weweMmepotea eeeh? Mbona siwaoni
05:5905:45
Mgeni mfalme[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Masharti tena?
Ukitaka raha,andaa sherehe kwako.
Labda km atakupikia yy.Mwanamke unaroho mbaya wewe[emoji23][emoji23]
Ngoja nisemezane na mzee wa tukuyu anaweza nipa mualiko[emoji38][emoji38]
Hebu nitake radhi kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]yaani mimi niwe bundi kweliSijui niku classify wapi ww[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]BAK sikuwa na maana hiyo
Habari yako lakini