carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Humu tulikuwa wengi andjul na Cole Williams walisepa saa8,nikabaki na KK humuLoh, kweli leo mmeamua. Maana kuna time nilikuwa nasoma tu hadi ikabidi niingie
Humu tulikuwa wengi andjul na Cole Williams walisepa saa8,nikabaki na KK humuLoh, kweli leo mmeamua. Maana kuna time nilikuwa nasoma tu hadi ikabidi niingie
Tatizo huyu mkorofi sana na hataki kukubali kuwa mm ndio namba moja kwa andjul,japo nae alipewa namba mbili ila hajaridhika. Bado anaitaka na hii nafasi yangu.
Utajijuuu, cole atapata mwaliko ila kadi yake itakuwa ya singo.Yaani aijapata kuona mwanamke asiyependa mawifi kama wewe
Mualike hata Cole basi
Kwema baba viv habari ya kuamka
Hao hawajali hiloTatizo wanapenda mazigo bila kujua hasara ya zigo
Na umetoka salama huko liwale bila busha,sio???? Hahahah maana ukiadimika tu hapa tunajua lishakupataFine thank you
Mzima we we?
Yani Leo ninafuraha mana ninaenda kuonana na viv[emoji4]
Tatizo nimetoboa[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo umeamka mapema sana.
Kbs yaan maana mtu unacheka mpk basiHumu hata ukiumwa unapona na maneno ya humu
Mungu akutangulie ufike salama
Ngoja ukutwe, we jidai tu kwa vile wenye mazizi wamelalaBiashara asubuhi ujue, jioni ni kufunga hesabu tu. [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe andaeitini bhanaMimi hapa, ntakuwa na google kwa pembeni kukupa matibabu stahiki! [emoji3][emoji3]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mungu akutangulie ufike salama
Mualike hata Cole basi[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah walah utaishia kunawa tu
Usinilishe maneno khaaHahahha khaaa, ila nimeshapata jibu
Uanona jinsi ulivyo jeuri we mwanamke, andjul bado hajatangaza nafasi ya kuongeza mtu. Halafu mbaya zaidi mm na ww hatuna tofauti,labda km ungekuwa na limsambwanda la haja hapo ndio ungetia presha kweli.Me Cole ananitosha na kama itabidi kuongeza nitamuongeza mumeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hellow[emoji113]
Hahahah muone[emoji23][emoji23][emoji23]nimekukomesha
Ya kichinaItabidi aisee narudi kwenye misambwanda ya DSM
Cole na andjul ni ndugu kwahiyo mimi ni wifi yako lolSasa we nae ni wifi au mshindani wangu. Unataka ku overtake kwa nguvu.
Shauri yakoView attachment 579411nakuangalia tu ujue