carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Usijichoshe kumpa majibu kwani yeye ni mama viv?[emoji23][emoji23][emoji23]Kusalimia
Kujulisha nipo safarini mana niliaga wakat nakuja liwale.
Kuomba maombi
Kujulisha nitaonekana usiku
Mm.sikutambuiCole na andjul ni ndugu kwahiyo mimi ni wifi yako lol
Hahahahah jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakufundisha kusoma
Hebu muache secretary wangu[emoji41]Unamaswali mengi kwani we ni polisi khaa
Ya kichinaAtaikuta dar[emoji28][emoji28]
Singo?hatoki ng'oooUtajijuuu, cole atapata mwaliko ila kadi yake itakuwa ya singo.
Bob au huyu ndio kashafaulu ule usaili wetu?Naomba badae tuwe na hard talk kuhusu matibabu ya viv[emoji41]
Ndo raha ya humu kwakwelKbs yaan maana mtu unacheka mpk basi
Halafu umeona uzi wa joseverest?karudiKbs yaan maana mtu unacheka mpk basi
Wazee wa misambwandaWahenga nuksi hawa[emoji23][emoji23]
Acha kumtisha[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja ukutwe, we jidai tu kwa vile wenye mazizi wamelala
Dah yaan eti bado dk 18 tuIla sa1 inakaribia
Wakija na mikwara yao hapa patakuwa hapatoshi, amuulize BobTena bora asubuhi kabla ya wahenga hawajaamka maana[emoji23][emoji23]
UmesemaUanona jinsi ulivyo jeuri we mwanamke, andjul bado hajatangaza nafasi ya kuongeza mtu. Halafu mbaya zaidi mm na ww hatuna tofauti,labda km ungekuwa na limsambwanda la haja hapo ndio ungetia presha kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah muone
[emoji3] [emoji3]Ataikuta dar[emoji28][emoji28]
Hahhaha usijali maana mm ndio mtetezi wako humu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Imebidi nicheke tu
Nashurukuru[emoji113]
[emoji13][emoji13][emoji13]Shauri yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi nitakufikiria lolWe nae, hujui kama andaeitini Ndio ma quick thinkers, kwa hiyo hata maamuzi yao ya kitabibu yanakuwa sahihi kabisa, always yani! [emoji3][emoji3]
Kwsbb amenipa kazi ya kumtafutia mama viv, halafu nasikia ww ndio umechaguliwa ili uwe unamtibu viv kwa urahisi akiugua,pmj na baba yake.Unamaswali mengi kwani we ni polisi khaa