Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Dirisha la usajili limefungwa
Poa mkuu
Pamoja mkuu
Nini tena maana nilikua kila nikigeuka sioni mutuBabes acha tu maana yalionikuta ni makubwa
Najiandaa kulala saiz
HahahahahaUna tatizo gani wewe? Wote walio soma maths wanapenda misambwanda by nature, nini kimekupata wewe?
Unalala na nani?Babes acha tu maana yalionikuta ni makubwa
Najiandaa kulala saiz
Na miaka miwili tunarudi kwenye uchaguzi naiona kesho ilivyo ngumu upande fulani....Tumebakisha miezi minne kuingia 2018
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuna siku 115 kabla ya X-mas HO! HO! HO! HO!
Nitakuhadithia baadae ila nilirud baada ya masaa kama mawili hivi nikamkuta Kk pekeake wewe na mzee wa tukuyu mlikuwa mshasepaNini tena maana nilikua kila nikigeuka sioni mutu
CantstopwontStop
Ninaelala nae[emoji23][emoji23][emoji23]Unalala na nani?
Good morning my dearYes my dearest