Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Msiri sana wewe!Ninaelala nae[emoji23][emoji23][emoji23]
Yap lete kisa mkasaKimoja kilitokea mwaka 2009, kikimuhusiaha baba mmoja aliyeogopwa akihusishwa na uchawi wa kila sampuli, lakini aliaminika kumiliki mamba watatu waliofanya maangamizi kwenye eneo hilo kama wanavyo hadithia kwa hisia wenyeji wa huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana sweetheart, baadae utaniadithia pumzika bhasi. LoveNitakuhadithia baadae ila nilirud baada ya masaa kama mawili hivi nikamkuta Kk pekeake wewe na mzee wa tukuyu mlikuwa mshasepa
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hongera sana Madame ISIS kwa kufikisha 300K
Mara ti 2020Kabisa yaan juzi juzi tu ilikuwa 2016 mara paap leo september 2017
CantstopwontStop
Nzuri tu sijui wa kwakoHabari za uzima wako
Kk huwa anampa habariHivi jembekillo anajua kama watu wamepata makao
CantstopwontStop