Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Aisee nenda ukirudi nami niendeTukachimbe dawa kwanza
Mmeanza fujo, nimeuliza swali ila sitaki likes??Mbona niki click avatar yako linatokea dume?? Kulikoni??
Gambushi
True! Upo?
Umelewa like wewe ngoja ni like kwanzaMnaonaje tupumzike kwanza tutarudi badae
hapa ni like tu kinacho kusibu itajijua mwenyewe hukoI may look happy, but you have no idea what's happening inside me.
Haya rudisha fazila Bablae...Duh kumbe like zinatafutwa