Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio kweli,mfano masongage akili hamna
Huu ni utafiti wa miaka na miaka na hauwezi kupingwa kwa sample ya mtu mmoja tu. Kwenye utafiti hivi huwa vinaitwa vighairi (exceptions) na mtafiti ni lazima avitafutie maelezo binafsi na siyo kutupilia mbali nadharia tete (hypothesis) yote.

Na kwa nini Limasogange huwa linasemwa sana kuwa eti halina akili? Kujihusisha na ngada ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…