Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
It is well with my soul
CantstopwontStop
CantstopwontStop
15Kumi na tano
18Kumi na nane
19Kumi na tisa
sasa katiba ndio imetakaSix people have decided to overturn the will of Kenyan people
Labda huko utafiti ulikofanyika lakini huku Mbagala wenye misambwanda ovyo kweliHuu ni utafiti wa miaka na miaka na hauwezi kupingwa kwa sample ya mtu mmoja tu. Kwenye utafiti hivi huwa vinaitwa vighairi (exceptions) na mtafiti ni lazima avitafutie maelezo binafsi na siyo kutupilia mbali nadharia tete (hypothesis) yote.
Na kwa nini Limasogange huwa linasemwa sana kuwa eti halina akili? Kujihusisha na ngada ama?
Daaah ujue unafanya makusudiTemptation, confessions of marriage counselor