Wapenzi wawili waliokaa karibu nao, wakamuangalia yule kijana wa miaka 24 and kuwaza wenyewe, ni mkubwa sana ila anatabia za kijinga, lazima atakua na matatizo ya akili, ndio maana hata baba yake ahangaiki naye.
Wapenzi wawili waliokaa karibu nao, wakamuangalia yule kijana wa miaka 24 and kuwaza wenyewe, ni mkubwa sana ila anatabia za kijinga, lazima atakua na matatizo ya akili, ndio maana hata baba yake ahangaiki naye.
Mwanangu alizaliwa kipofu, Leo ni siku yake ya kwanza kabisa kuona.. Tabia zake zinaweza kuwa za kijinga na kero kwenu ila kwangu ni zaidi ya miujiza"_
Wale wapenzi wawili wakatulia tulii na kuishiwa maneno huku wakibubujikwa na machozi na aaibu machoni pao…
Kila mtu ktk dunia hii ana historia yake, usimhukumu mtu haraka kwani hufahamu wametokea wapi na wamepitia mangapi kwani ukweli kuhusu maisha yao unaweza kukushangaza. Waheshimu na kuwachukulia wepesi wenzako hata kama wewe unamaisha mazuri…*
_*Hadithi hii imenifundisha kitu kikubwa na nimeonelea niwashirikishe…*_
Jamaa kam2mia dem wake elfu 2
#M-PESA,demu kuona sms ya
Tigo pesa akafurah lakin ile kufungua
akakta
buk 2
akaamua kumpigia jamaa cm!!
DEMU:{Huku akiwa na jazba}hv
wewe
kwa akil yako nzito mi na uzur
wang wote
huu ntafanyia nn kihela chako hk hv
umechanganykiwa eeeh! sa skia
kwanz
mi nna boyfriend wang ananipenda
ana
magar na mifweza tele tna hawez
n2mia
buk 2 so ctak uxumbuf niachee!!!
JAMAA:{Huku akshusha pumz}
xamahan
xana ila nilkuwa nko show room
nakununulia [HASHTAG]#gar[/HASHTAG] sa nme2ma elf 2
m_pesa ili nipat jna lako kamik il
nkuxajilie gari lako,poa mxalimie
shemej!!!
DEMU:{Huku akjichekesha}baby,
honey,my darling jaman sweetie
hutaniw ????mi nakutania mwaya!!!!
JAMAA:{Kakata cm zaman…..!!}
umechanganykiwa eeeh! sa skia
kwanz
mi nna boyfriend wang ananipenda
ana
magar na mifweza tele tna hawez
n2mia
buk 2 so ctak uxumbuf niachee!!!
JAMAA:{Huku akshusha pumz}
xamahan
xana ila nilkuwa nko show room
nakununulia [HASHTAG]#gar[/HASHTAG] sa nme2ma elf 2
m_pesa ili nipat jna lako kamik il
nkuxajilie gari lako,poa mxalimie
shemej!!!
DEMU:{Huku akjichekesha}baby,
honey,my darling jaman sweetie
hutaniw ????mi nakutania mwaya!!!!
JAMAA:{Kakata cm zaman…..!!}
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.