Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Sai Kisumu unaeza kula dem free kwa heshma ya Raila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Andjul mzee wa vigoda, yani vikalio, aka mchina, yani MISAMBWANDA, ukiwa sambamba na wife wako akupendaye, nimpendaye, mtoto wa kishua, toka usukumani, Shy town, mrembo aliyeumbika, Nsamaka mnaalikwa kwenye sherehe kamambe ya chakula cha usiku hapa Kijichi. mahali hapa mtaburudika vilivyo maana miongoni mwa waalikwa ni wale wenye ....za kichina. Huku mkipunga hewa ya bahari ya Hindi huku mkilitazama daraja maarufu LA kigamboni liking'arishwa na taa zake zenye mng'aro wa kipekee. Karibuni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu tutakaribia
 
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…