Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Q965
Mzee wa namba niajeQ947
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huko ujaluoni Leo ni krisimasi[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Sai Kisumu unaeza kula dem free kwa heshma ya Raila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshaziona picha tata na video za Sanchoka? Yupo anachezewa na vijana wa Nigeria. Andjul akiziona hizi aisee ataweza hata kuzimia. Lisichana lizuri kwa kweli ila sasa sema tu ndo hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM
Wiki ya kwanza
Status:"Location flani amazing"
"Having fun"
"I love my life"
"sijali mnayosema nafanya nachotaka"
BAADA YA MIEZI MIWILI
STATUS:"Binadamu wengi ni wasaliti"
"trust nobody"
"Na hili nalo litapita"
BAADA YA MIEZI SITA
Status:"Yesu wewe ndio rafiki wa kweli"
"Bwana ndiye mchungaji wangu"
BAADA YA MIEZI TISA NA KIDOGO
STATUS: "Nakupenda mwanangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuseme sahii dem anakula carrot akiwa online, huyo ndiye tunaitanga 'Caroline? '
Mtafanya viazi vipande bei jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM UONGEZA
HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA
KUCHELEWA KUFIKA KILELE?
JINSI YA KUTUMIA
(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rang nyekundu
(2)usivimenye bali vioshe na uvichemshe km
vilivyo … Akikisha vimeiva na uviipue.
(3)Akikisha unakula na maganda bila kutumia
kinywaji chochote!!
Nimeziona daah binti kaumbika ila akili hana maskin sehemu zake za sirin zitakua zinaumia sanaUmeshaziona picha tata na video za Sanchoka? Yupo anachezewa na vijana wa Nigeria. Andjul akiziona hizi aisee ataweza hata kuzimia. Lisichana lizuri kwa kweli ila sasa sema tu ndo hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa ndo safi uchumi wa viazi upandeMtafanya viazi vipande bei jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo… Siyo unadate binti anajua mpaka Lukaku alifunga mabao mangapi msimu uliopita??…
Demu unakaa naye anamjua Boro Yanki, Van Dame, Bill Branks…. Anakuadithia "anodi ya jini mwanzo mwisho"…
Yaani huna hata kipya cha kumfundisha…
Binti anatakiwa ukimuuliza "Bebi unamjua Rooney?? " anakujibu "Namsikia tuu.. Hivi ameimba wimbo gani?? "
Babe anatakiwa kuwa mshamba kidogo… Yaani eti babe anampenda Undertaker na Marehemu Umaga…
Binti anangaalia Movie ya Wrong Turn hata hajifichi amekodoa mimacho kuanzia mwanzo mpaka list ya majina inapita…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]4) Baada ya hapo tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo
umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba
mana macho yalikutoka km una tatizo hilo
muone Doctor.
Umeshaziona picha tata na video za Sanchoka? Yupo anachezewa na vijana wa Nigeria. Andjul akiziona hizi aisee ataweza hata kuzimia. Lisichana lizuri kwa kweli ila sasa sema tu ndo hivyo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaBabe anatakiwa ukiangalia naye Final Destination muda wote kafumba macho… Kila Mara anaongea na waigizaji… "Jamani wewe usiende utakufa huko" Mara unasikia "babe toa hii nitaota"…
Siyo Bae anakaza mdomo kabisa kwa hasira mtu akikoswakoswa kufa unamsikia kudadeki afe tu huyo anakihelehele..
BAE anatakiwa kuwa mashamba kidogo.
[HASHTAG]#BaeUshambaNiSexy[/HASHTAG].