Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga af unakuta umebakiza unit 60 za umeme, inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] duuu[emoji3] [emoji3] nyoka siyo lazima atambae, wapo nyoka pia wenye miguu miwili, anakung' ata mpaka kifo lakini hakumezi apate shibe[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom