Unakuta umetingwa na mambo yako,
Mtu anatokea kuanza kukashifu naniii za watu...
Mara oo akili ni bora kuliko misambwanda,mara wa misambwanda ni wa hovyo... Tuachiieeeee sie wa hovyo
Hizo sehemu hazigusiki kwa dharau...naenda.
Nikiliona neno "misambwanda" tena narudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]