Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

LOL! Lakini ukitoka hapo heshima tele. Unatakiwa uwe mtu wa tizi la nguvu ili uweze kuzimudu. Na kula chakula ya afya siyo chips yai na kushushia na Fanta.

Shoo za kikabe bila mazoezi ni shida. Mbavu na mgongo wote nyang'anyang'a [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom