Mkuu bageshi ina maana gani? maana naipenda hiyoUnapotea mno bageshi. Ulimhola?
AMUN RA23:03
AMUN RA
Wanachama ni wengi. Sema wengi ni wanafiki wanajificha ficha. Hata Cole utakuja kushangaa japo sasa amekazana Oooo akili ni bora kuliko mis...utafikiri wao tu ndo hawana akili....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujui kweli auHata mimi sielewi kwakweli
Logically hawezi kuwa sahihi KAMWE unless kwanza athibitishe bila kuacha hata punje ya shaka kwamba huwezi kuwa na kimoja badala ya kingine.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole yuko sahihi
Lol[emoji23]