Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Irrelevant to the topic. Na kuwa mwanasiasa wala haihitaji akili. Ni ujanja wako tu na uwezo mkubwa wa kufyatua uwongo ukaaminika.
Irrelevant to the topic. Na kuwa mwanasiasa wala haihitaji akili. Ni ujanja wako tu na uwezo mkubwa wa kufyatua uwongo ukaaminika.
Mbona hujakaa tukakugongea like za nguvuKesho tena! Mungu akipenda...
Just like that ushaondoka...Goodnight bageshi. Hako kapare kabahili naona kanakubana kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho tena! Mungu akipenda...
Ni sound waves. Sasa utayarudishaje? Kwema ndugu?
Ije tuStori ndefu kidogo, so itakuja vipande vipande ili kuendana na kasi ya Uzi na pia isiwachoshe, ikiwa inawaboa pia mnasema tuachane nayo
Sent using Jamii Forums mobile app