Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
na wewe pia chukua like yakoPlaying cards
[emoji812] Shupaza
[emoji813] Kopa
[emoji814] ......
[emoji815] Kisu
Kwetu pa zuriWEWE NAKUKUTA KILA SIKU HUKU. KULIKONI?
Na wewe pia ndugu yangu!tayari nishafanya yangu hapo kiroho safi
Cool mzazi. Harakati aje?Niaje mkuu
Ma.....Playing cards
[emoji812] Shupaza
[emoji813] Kopa
[emoji814] ......
[emoji815] Kisu
Chukua like kwa darasaKaribu ujimwaye mwaye nasi nduguzo, tunatamani uwe hapa mara kwa mara tufurahie tabasamu lako, chini ya ulinzi wake kichwa kichafu na ISIS kama walinda uzi huu
Not yetI have done my part
Kula like mkuuMnyonge mnyongeni haki yake mpatieni, nafurahi unajielewa kwa kuukiri ukweli
malizia tu mavi ya mbuzi....hata hivyo pokea likeMa.....
Teh teh tehHahahaha!
Hahhaa unagawa like kwa nyumbu na fisi umenichekesha sanaNilingia jukwaa la siasa, acha nimwage like kwa fisi na nyumbu nliposhutuka nikafutilia mbali nikatoroka
Mabomu ya like yanaendelea[emoji613] [emoji613] [emoji613]
Vituko uswahiliniUswahilini kuna mamboz
Hatujambohamjambo?
Kwenye uzi salamaLike haijamuacha salama mwana jf
Nasubiri kadi tu humuKuweni na aibu jamani mmezidi hata kama sikukuu zimekaribia ndo hivyo?