ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hauna chama
Umetoka naye wapi kiongozi?Duh, tumekutana huku kwenye likes!
Hahahaha!Ujue kichwa kichafu kapita
AmenNipo mie najimwaya mwaya na ndugu zangu
Umetoka naye wapi kiongozi?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni, nafurahi unajielewa kwa kuukiri ukweliMbona hiyo wanafanya Makapuku Forum? Itakuwa dublication naona.
Mimi kila asubuhi ni lazima nikapate somo Makapuku ndo naendelea na mambo mengine, ingawa nasomaga kimya kimya lakini natambua umuhimu wa kazi wanayoifanya.
So mtu unaweza kuwa unaenda kule kupata elimu then unakuja kugawa likes huku.
Karibu ujimwaye mwaye nasi nduguzo, tunatamani uwe hapa mara kwa mara tufurahie tabasamu lako, chini ya ulinzi wake kichwa kichafu na ISIS kama walinda uzi huuNipo mie najimwaya mwaya na ndugu zangu
Unasemauna maanisha eneo hili?![]()
Poa, wapi hiyoMamboz!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Miswaki ya mitumba inapatikana hapa.
Niaje mkuuPamoja mkuu
Bila kujari umeandika nini? Sio mbaya ukapata elimu kule na hukuMbona hiyo wanafanya Makapuku Forum? Itakuwa dublication naona.