Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

376fe0ab9298649995057d8ecad7297f.jpg
 
Tafadhar tuwe tunapeana habari na matukio kama ya ulimwenguni na kupeana elimu kwa maswala mbali mbali pia kuleta hoja na kuzijadili ili kuufanya uzi huu uwe wa kuvutia zaidi

Mbona hiyo wanafanya Makapuku Forum? Itakuwa dublication naona.

Mimi kila asubuhi ni lazima nikapate somo Makapuku ndo naendelea na mambo mengine, ingawa nasomaga kimya kimya lakini natambua umuhimu wa kazi wanayoifanya.

So mtu unaweza kuwa unaenda kule kupata elimu then unakuja kugawa likes huku.
 
Back
Top Bottom