[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huyo jamaa ni bwabwa amenikera sana anataka tukamtukane kwenye vijiwe vyake vya siasa shenzi sana[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tushakuwa addicts wa kulike....hahahaYaan ata mm kiasi kwamba inabidi tuu nirudi kwenye huu uzi.
Hahahahahaha........Hahahaaaa hata mimi nimefanya ujinga huo, hata sikua nasoma comments ila ni ku like tu. Najua watashtuka, sijui watanitukania nini kwenye ubongo wangu. Habari ya asubuhi kwa wote mlio shindwa kwenda kwenye nyuzi zingine kisa tu hazina likes
kila mtu na starehe yakeWewe jamaa umepotea kijiwe hii jamii forums sio ya baba yako au ya CCM unaelewa maana chit chat?? @ Invisible pigeni BAN hilo nyumbu la CCM kwa uchizi anaoufanya
kila mtu na starehe yakeTushakuwa addicts wa kulike....hahaha
Tafuta daktari wa akili haraka.
Tupo mkuu hamna wa kumkimbiaWadau mmekimbia huu.uzi kisha huyo kinyago wa Lumumba??
TupoYani nyinyi watu mpo wapi??
Pamoja mkuuNashukuru kwa kuwa mmerudi niwatakieni mchana mwema mungu akipenda jioni tutakuwa pamoja
Na kwako pia.Nashukuru kwa kuwa mmerudi niwatakieni mchana mwema mungu akipenda jioni tutakuwa pamoja
Kijana huu ni uzi maalum wa kupokea na kugawa like...badala ya kupoteza muda kulialia ulitakiwa kutoa like..uzi unatoa maelekezo ya kufanya lolote upewe like..hhahahhhahaha mimi nimekupa like kwa uliyo yaandika....Wewe jamaa umepotea kijiwe hii jamii forums sio ya baba yako au ya CCM unaelewa maana chit chat?? @ Invisible pigeni BAN hilo nyumbu la CCM kwa uchizi anaoufanya
GoodTupoooo