ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mao
Kweli hili ni bando la hatupimi,yani ukijaza wanajaza ,ila ukizubaa unajazwaaa[emoji16] [emoji16] [emoji16]Hatuna macheko kwenye kugawa like hatupimiwi chukua like kiroho safi
Wasingekuwa na uwivu , huu uzi ungekuwa hauna maana lakini kwa sababu wanatapatapa for sure tuko kwenye right truck!Wambie waache siasa za maji taka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mi yalinikuta hayo! nilimwaga like za kutosha bila kujua, badaye nikafutilia mbaliMazoea mabaya nimeenda nyuzi zingine kila nikisoma post najikuta nataka kulike hats zisizo....
I love MANSA MUSSA SO MUCH! Lazima nina roho yake!Mansa musa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaan ata mm kiasi kwamba inabidi tuu nirudi kwenye huu uzi.
Hahahaha mimi pia walahi![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mi yalinikuta hayo! nilimwaga like za kutosha bila kujua, badaye nikafutilia mbali
Yup yuphili bandiko linakuja kwa kasi zaidi ya "makapuku forums"
Tupo kiranja mkuu, niajeMpo?