Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke alikutwa nje ya mto Ruvu akiwa kama alivyozaliwa, alipoulizwa kilichomsibu akadai amevamiwa na mamba mkubwa akiwa ndani ya maji, lakini cha kushangaza alinyanyuliwa naye na kutupwa nje ya mto. kwakuwa lilikuwa ni tukio la kwanza la aina hiyo, watu walishangaa sana. wengine hawakuamini kisa hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…