Toa likes upate likesSawa sawa
Ungekuja mchana uone speed ya supersonichuu uzi upo fasta sijawahi ona....
hata sasa hivi upo moto...sijui umefungiwa engine gani??
Shit, jina la baba yangu[emoji615] mkuu nakuheshimuMzee Dudumizi aliongea na mimi mwaka 2012, miaka 3 baada ya kifo cha manyoya. Anasema mamba wa kwanza aliitwa BAKARI, huyu alikua hauwi, huyu ni mamba wa vitisho. Kwamba atakuvamia mtoni kisha anakutupa nje ya mto