Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Katika huu mlolongo hakuna anayakata roho?Babu ni baba, baba ni baba na mtoto nae iko siku atakuwa baba au mama, wakati huo baba tayari itakuwa kishakuwa babu na babu tayari ameshapata kilembwe na mjukuu ana baba, babu na baba mkuu
Kama hujanielewa uliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Apumzike kwa amani. Ndo safari yetu hiyo sisi wana wa Adamu...[HASHTAG]#DewjiBlogNews[/HASHTAG]: Mbunge Mteule wa Viti Maalum kwa tiketi ya chama cha CUF aliyeteuliwa mwezi mmoja uliopita, Hindu Hamis Mwenda amefariki dunia leo jioni.
Wapo lakini jina lake linabaki pale paleKatika huu mlolongo hakuna anayakata roho?
Jibu zuri. Inaonekana hujapuliza cha Kingston bado. Kumekuchaje?
Nimeishiwa stock yangu hapa homeJibu zuri. Inaonekana hujapuliza cha Kingston bado. Kumekuchaje?
Ndilo tunalolijuaWaafrika kujidhalilisha tu. Eti kwenda kuwastarehesha watalii wa kizungu hukoo beach. Mabinti wa Kiafrika wanakata mauno weee....
![]()