[emoji23][emoji23][emoji23]hebu nicheke vizuri kwanza teh teh teh[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] ujinga ni pale
"Mchepuko wa mke wako unakupigia simu kuwa usiwe na wasi wasi nae tena, kwani wameachana na mke wako tangu jana,mume unashangilia na kumshukuru kwa kukuachia mke wako"
Warumi 8:31-38
Mwambie awe na subra[emoji41][emoji41]Viv mzuka mwingi sana anamngoja tu bi mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe una vutiwa na haya? Akili ni bora kulik....? Endelea kufaidi akili zako.Siku zikiamka ndipo ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani mimi ndo hivi paa hizi hapa!!! Aisee,sijui yaani....lakini sawa tu... Kwa nini wengine tu ndo wapate...[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Fuata nyuki........
Kula likes mkuu. Uboya waachie maboya wasio na uboya wa wenye uboya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana alisema alikuwa busy sana na majukumukazi imemshinda huyu secretary
Siyo wewe andaeitini. Namzungumzia singo faza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa... Mimi mgumu aisee, na sijavamia zizi la mtu! Wewe unataka nikurupushwe na mishale ya sumu? Kweli wewe mdakama?/mwenzangu hunitakii mema! [emoji3][emoji3]
Salama kabisa nashukuru MunguNzuri kabisa Habari za jumamosi
Kuwa na subira bhana usiwe na haraka hii step ukikosea imekula kwako mazima[emoji41][emoji41]nimechoka maisha ya usingo faza
wanaume tumeumbw mateso [emoji16] [emoji16]Yaani mimi ndo hivi paa hizi hapa!!! Aisee,sijui yaani....lakini sawa tu... Kwa nini wengine tu ndo wapate...[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]