Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zaburi 37:5
4ebb8dca6b399628de3626d522f84ba6.jpg
 
Hivi usahihi wa Cole uko wapi? Macho yake yanahangaika huku na huko kuyasaka hayo manini sijui unayo sema...Kimara na Mbezi anajulikana kwa ajili hiyo... Unataka vielelezo ? Nyama ni nyama ila ni nyama zaidi ikiwa tu imenona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za Leo mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
12. Zuia jino kuoza na magonjwa ya kwenye fizi

Kuzuia kuoza kwa jino na magonjwa ya fizi ni moja ya kazi nyingine nzuri ya kushangaza ya mafuta ya nazi ambayo nimependa kukufahamisha kupitia makala hii.

Mafuta ya nazi ni dawa inayoweza kudhibiti bakteria wabaya na hivyo kuzuia kuoza kwa jino na maumivu mengine katika fizi. Ili kuzuia haya unahitaji tu kutumia mafuta yako ya nazi kama dawa yako ya mswaki kila siku.

Unaweza pia kuongeza kijiko kidogo kimoja cha mafuta ya nazi ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto ili kutengeneza dawa ya kusafisha mdomo (mouthwash).
 
Shemeji umeanza kuwa mkorofi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]shemeji mimi nitamsapport hata Cole akitaka kushabikia hivyo vyombo sema lazima viangalie kwanza akichukua wa kufanana na mimi ni dharau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa bahati nzuri, mafuta ya nazi yanayo uwezo wa kulinda figo na Ini visipatwe na madhara yoyote mabaya moja ya kazi ya mafuta ya nazi mwilini ulikuwa huijuwi bado.

Wanasayansi wameviona viinilishe katika mafuta ya nazi ambavyo ni mhimu sana kwa afya ya Ini na figo katika mwili wa binadamu.
 
13. Ongeza ufanisi wa Ini na Figo

Kwa mjibu wa madaktari wengi, kuna uhusiano wa karibu kati ya madhara ya figo na kushindwa kufanya kazi kwa ogani hii mhimu.

Kama tatizo la kufeli kwa figo halitapatiwa ufumbuzi linaweza kupelekea kifo. Figo na Ini ni ogani mhimu zaidi katika mwili ambazo zinatakiwa kupewa uangalizi wa karibu kila mara zisipatwe na madhara yoyote.
 
Back
Top Bottom