mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaKiongozi naona tunapishana.
Umekuwa adimu sana tangu ulipomnyeshea Arsenal Mvua za kutosha.
Hongera Kiongozi
Kuna mtu anaumia sana kwa hizo goli naona mida inatupishanisha
HahahahahaKiongozi naona tunapishana.
Umekuwa adimu sana tangu ulipomnyeshea Arsenal Mvua za kutosha.
Hongera Kiongozi
But my story is different carba though hicho ulichosema mara nyingi hutokeaIts hard being a single parent,ila ndo muache kuwapa mimba wadada/wanawake wa watu na kuwakimbia nao wanapata shida hovyohivyo
Cc:wanaume wote/wavulana maana mwanaume hakimbii majukumu
HahahaKwi kwi kwi kwi hii noma sanaaaa! Utadhani mimba ya miezi 9
Mzee wa liver yupo upande huu,ukiona mtu ana hangaika sana kuipinga misamb...jua huyo anashabikia indarekti...picha ulizo tupiamo mzee wa liver kazikwapua zoooteee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Logically hawezi kuwa sahihi KAMWE unless kwanza athibitishe bila kuacha hata punje ya shaka kwamba huwezi kuwa na kimoja badala ya kingine.
Halafu nawe unamuunga mkono wakati naye nasikia kafungasha balaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Yap
Je Cr7 anavyo fanya yule jamaa bhana watoto wake mama zao hawajulikani, unaweza kuta na wao hawa wajui mama zao.Ila tukiacha jokes za humu
Being single father
Dah[emoji27]
A real mental test
HahahahahaSasa we unajuaje kama huyo imam sio mimi?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji125][emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
I know! Haya mambo ya dini bana wewe ni kuwa na imani tu ya iwepo wa Mungu! Mambo ya kwenda church kuwaamini hawa ni utapeli tu! Nilishaacha kwenda kanisani kitambo sana mimi! Uhuni mtupu!