Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

95f643234cdbe327b9c2d1c49c95d766.jpg
 
*kipindi cha Kikwete cku ya leo mda km huu yanapostiwa mapilau tu humu,ila asa hv naona kila mtu anapambana na hali yake[emoji23][emoji23][emoji23]saaafiiiiii*

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Utapost makande mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41] [emoji41]
 
Kwa bahati mbaya ubongo wa mtu mwenye ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu hauwezi kujitengenezea insulin yake kwa usahihi na vya kutosha.

Watu wanaosumbuliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu wanatakiwa waongeze matumizi ya mafuta ya nazi kwenye vyakula vyao kila siku.

Kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu ni moja ya kazi za mafuta ya nazi ambayo ninapenda kukufahamisha kupitia makala hii.
 
2. Huzuia uwezekano wa kupata kansa

Mafuta ya nazi yanao uwezo wa kupigana na seli za kansa. Tafiti za karibuni zinasema kitu chochote chenye uwezo wa kuuongezea nguvu ubongo husaidia pia kuzuia kusambaa kwa seli za kansa katika mwili.

Zaidi ni kuwa mafuta haya yana uwezo wa kumdhibiti bakteria ajulikanaye kama “helicobacter pylori” ambaye husababisha vidonda vya tumbo.
 
Back
Top Bottom