Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

18fc4d45b3b8aa9848e3915b8544d6ce.jpg
Hahahahaha
Issue ya Hitler naona mauza tu
 
*Kweli nimeamini Nabii hakubaliki kwao, haya Mambo ya kufuta uchaguzi alivyoyafanya JECHA hakuna mtu aliyemsifu, sasa Kenya wamefuta uchaguzi, kila mtu Povu linamtoka Eti Kenya wameendelea kidemokrasia, wakati wamekopi mambo ya Jecha*
5b7f6aabe6b4158e1a9c525e652fcb4a.jpg
Shida jecha alitumia mamlaka yapi ya katiba kuvuta uchaguzi ule
 
Faida 39 zitakazokushangaza za mafuta ya Nazi kiafya

1. Huzuia na kutibu tatizo la kupoteza kumbukumbu

Wakati mafuta ya nazi yakiwa yamemeng’enywa na mwili huhamasisha uundwaji wa nguvu mpya za ubongo zijulikanazo kama ‘ketones’.

Ketones zina uwezo wa kusambaza nguvu katika ubongo hata kama insulin itakuwa chini ya kiwango kama matokeo ya ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (Alzheimer).

Insulin kazi yake kubwa ni kuishughulikia sukari (glucose) na hivyo kuzipa nguvu seli za ubongo.
 
Back
Top Bottom