Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Connor McGregor Jordan....
Nitashusha my princessLeta vitu hivyo tupate darsa
Mambo ya sikukuuLeo naona team popo ni wachache sana
Hivi usahihi wa Cole uko wapi? Macho yake yanahangaika huku na huko kuyasaka hayo manini sijui unayo sema...Kimara na Mbezi anajulikana kwa ajili hiyo... Unataka vielelezo ? Nyama ni nyama ila ni nyama zaidi ikiwa tu imenona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Cole yuko sahihi
Good morning my dearGood morning Dar es salaam
Nasubiri kujifunzaNitashusha my princess
Anadai eti yeye ndiyo alikimbiwa. Utafikiri hiyo inampa haki ya kuvamia mazizi ya watu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Its hard being a single parent,ila ndo muache kuwapa mimba wadada/wanawake wa watu na kuwakimbia nao wanapata shida hovyohivyo
Cc:wanaume wote/wavulana maana mwanaume hakimbii majukumu
We mzee weweHivi usahihi wa Cole uko wapi? Macho yake yanahangaika huku na huko kuyasaka hayo manini sijui unayo sema...Kimara na Mbezi anajulikana kwa ajili hiyo... Unataka vielelezo ? Nyama ni nyama ila ni nyama zaidi ikiwa tu imenona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gazeti la mchana hivi bado lipo kweli
Safi mkuuKiongozi.
Njema sana.
Vipi wewe?
Rip[HASHTAG]#DewjiBlogNews[/HASHTAG]: Mbunge Mteule wa Viti Maalum kwa tiketi ya chama cha CUF aliyeteuliwa mwezi mmoja uliopita, Hindu Hamis Mwenda amefariki dunia leo jioni.
Broo ndo mana mimi na discourage sana yaan ghafla tu uchukue mtu utangaze ndoa, kaa nae kwanza, kula maini in the process utajirizisha kwamba utaweza spend nae the rest of your Life.