Mungu anajaliaaa sasa tutakuwa wotee hapa jukwaaniHabari ya kupotea lakin
Karibu sana tulikumisimoMungu anajaliaaa sasa tutakuwa wotee hapa jukwaani
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
hahahahahaMke ni mke tu
Tabia njema ndio silaha
Hata mimi najishangaa,yaani mimi na Cole hatuna utofauti kabisaaaa,ni ving'ang'anizi ajabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kinachokufanya umng'ang'anie yule muhenga ni nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi nimemuona[emoji28] [emoji28]Kuna mtu anaulalamikia uzi wetu pendwa hukoooo