mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Maana anafunga pingu za maishaKuwa na subira bhana usiwe na haraka hii step ukikosea imekula kwako mazima[emoji41][emoji41]
Maana anafunga pingu za maishaKuwa na subira bhana usiwe na haraka hii step ukikosea imekula kwako mazima[emoji41][emoji41]
Mateso kuhangaika
Hahahahaha
Hapo cha mtoto,twende Msimbati ukajionee maajabuhahahahah
sema nitakutoa roho wewe
unapaja ngende?
Angalia na hapo chini denda
Mungu akawafunike kwa mikono yake yenye ulinzi imara.Usiku mwema ndugu yangu[emoji120]andjul, naona umenikomalia mpaka usingizi umenivamia ghafla! Baadae wapendwa, mimi night night sasa hivi! Nadhani SYB amekimbia kimya kimya! Muwe na siku njema wote! SAYONARA..[emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Subiri nikatoe povu la omo kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ana wivu tu na stress apite mbaliii nasiKuna mtu anaulalamikia uzi wetu pendwa hukoooo
Story ya kuliamsha dudeSALON ZA KIKE ZINA MAMBO JAMANI................
kweli nimeamini ya kwamba salon za kike zinamambo... jumamosi niliingia salon moja mitaa ya tabata, ndani mule kulikuwa na wateja wengine wengi tu wakitengeneza nywele zao na kucha, mara wakaingia wadada wa wili ni wasichana tu wenye umri kama miaka 25-28 sasa wakiwa salon wanatengeneza kucha kuna dada mmoja akaanzisha story ya kuhusu mapenzi na jinsi gani anavyofurahia mapenzi anayopewa na mpenzi wake..
msimbati ni msamiati gani?Hapo cha mtoto,twende Msimbati ukajionee maajabu
Safi sana hii unakuwa 100% uko salamaView attachment 580098technology inakoelekea