Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dada mwingine aitwae Bupe, alisema kuwa hata wanaume nao husengenya, yeye alishawahi kumfuma mvulana ambaye punde tu alitoka kufanya naye mapenzi akiwasimulia wenzake jinsi yeye (Bupe) alivyo awapo kitandani, kuanzia mwili wake hadi namna anavyofanya mapenzi.
 
eab0e8bcc8ab564b85c3487c3f1a7ded.jpg
Hii ni kweli au kiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba hakuamini tukio lile kwa sababu mvulana aliyemwamwini na kuamini kumkubali kuwa mpenzi wake baada ya kumtongoza kwa muda mrefu, angeweza kusimulia yale yote aliyoyasikia. Kibaya zaidi hata wale waliokuwa wakisikiliza ule utumbo walionekana kwa nje, kuwa ni watu wenye busara.
 
Usiwaone wamekaa kwenye makundi wakizungumza ni wasengenyaji wazuri sana, tena usidhani wanajadili jambo la maana, sanasana wanazungumzia wanawake wale waliotembea nao alisisitiza Bupe”.
 
Kijana mmoja aitwae Dikupila ambaye anamiliki saluni ya kunyoa nywele jirani na ofisi yangu, kwa upande wake aliyewatetea wanaume kuwa siyo wasengenyaji, kwani hayo ni mambo ya wanawake. “Sisi wanaume kusengenya! Haiwezekani, hayo ni mambo ya wanawake, sana sana ukikuta mwanaume anajadili udhaifu wa mpenzi wake hadharani basi ujue huyo jamaa anamatatizo makubwa ya kiakili” alisema Dikupila.
 
Watu wengi wa jinsia tofauti niliobahatika kuzungumza nao walikuwa wanakiri kusengenya lakini walikuwa wanajaribu kutengeneza fasili ya neno kusengenya kwa namna ya kukidhi haja zao. Kwao kusengenya walisema ni mtu kutafuta namna ya kujifunza kuwa bora kupitia makosa ya wengine. Je tabia hii inaweza kuachwa? Wengi walikiri kwamba siyo rahisi tabia hiyo kuachwa kwani imekuwa ndiyo sehemu ya maisha, kwamba haiwezekani watu kukaa pamoja na kuacha kuzungumza matukio na yanapozungumzwa matukio, ni lazima yatawahusu watu hivyo kujikuta watu wanasengenya.
 
*Kweli nimeamini Nabii hakubaliki kwao, haya Mambo ya kufuta uchaguzi alivyoyafanya JECHA hakuna mtu aliyemsifu, sasa Kenya wamefuta uchaguzi, kila mtu Povu linamtoka Eti Kenya wameendelea kidemokrasia, wakati wamekopi mambo ya Jecha*
5b7f6aabe6b4158e1a9c525e652fcb4a.jpg
[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Baada ya padri kufungisha ndoa ya mashoga,akawa anashindwa kuwaambia kwamba kuanzia sasa nyinyi ni mke na mume. Akafikiria saana na kutafakariiii, kisha akajikakamua na kusema, "Kuanzia sasa ninyi ni MAN UNITED"*.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

iPhone 7 /A1786)
 
Na wewe una vutiwa na haya? Akili ni bora kulik....? Endelea kufaidi akili zako.Siku zikiamka ndipo ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amna nilikuwa namkumbusha bro hapo kwamba AKILI NI BORA KULIKO MISAMBWANDA Hilo Tu

CantstopwontStop
 
Hata mfumo wao wa kumpata jaji mkuu ni mzuri sana
Sisi tunakaimu jaji mkuu mwezi wa tisa sasa kwenye katiba hakuna kitu kaimu jaji mkuu
Piece of lie. NASA is notorious for rumormongering. Beware you will hear plenty of garbage before and after presidential rerun

Nobody is such a fool to deposit money in anybody's account without prior agreement.

Moreover, who will bribe someone with such a large amount of cash using a local account.

Whoever is circulating this piece of garbage needs self reexamination
 
Back
Top Bottom