Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha unakunywa kiasi unaacha gapu ya mchezo
 
Eliaquim Mangala is refusing to sign for Crystal Palace and thwarting Manchester City's desire to sign Jonny Evans from West Brom, according to the Daily Mirror .
Palace reportedly had a bid accepted for the Frenchman only for him to turn down the chance to move to Selhurst Park.
The Eagles have subsequently turned their attention back to Liverpool's Mamadou Sakho and without offloading Mangala, City will not be able to bring in Evans.
 
Hata mfumo wao wa kumpata jaji mkuu ni mzuri sana
Sisi tunakaimu jaji mkuu mwezi wa tisa sasa kwenye katiba hakuna kitu kaimu jaji mkuu
Usisahau kuwa kenya walipitia mitihani mbalimbali mpaka kuipata katiba ya mfano kwenye ukanda huu. Usisahau kuna waliofikishwa mahakama ya uhalifu wa kivita The Hague. Hapa tunadhani tupate katiba yenye miongozo sahihi kirahisi tu!! Sidhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni yai la kuchemsha, lichemshwe kwa dakika kumi zaidi baada ya maji kuchemka. Pia ni muhimu kuhakikisha kwamba vyombo vilivyotumika k u k o rogea yai bichi vinaoshwa kwa maji na sabuni kabla ya kuvitumia tena kwa matumizi mengine ili kuepuka maradhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…