Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Mbaya[emoji35]Habari zenu[emoji124]
Ohh nzuri[emoji4]
Mbaya[emoji35]Habari zenu[emoji124]
Watu wa taarabu wanasema anakijiba cha rohoHata mimi niliona thread yake ya kulalamikia uzi wetu pendwa na wa Makapuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, ujumbe uwafikie...Ni vema kama mtu hawezi kusema jambo lolote zuri kuhusu mwenzake akakaa kimya, kwani ni njia bora ya kusitiri heshima yake.
What
Pm[emoji15] [emoji15] sijaelewa?
Lione[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41]Mbaya[emoji35]
Ohh nzuri[emoji4]
Ubuyu nauelewa sanaFAIDA ZA UBUYU
1. Kuzuia uhalibifu na mikunjo ya ngozi.
2. Kusaidia katika kupunguza uzito wa mwili.
3. Kuimarisha moyo.
4. Kusafisha ini na kuondoa sumu.
5. Kiwango kikubwa cha vitamin C.
6. Chanzo cha madini ya Calcium.
7. Kuimarisha kinga ya mwili.
8. Kuimarisha figo.
9. Kuimarisha mifupa na meno.
10. Kuimarisha mfumo wa fahamu
Private m
Saba nane sita
AMUN RAAMUN RA
Hahahahaha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] aiseee sasa nimeelewa...watu na misamiati yenu