Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S025
Ana husda, anataka tukajazane kwenye majukwaa yao yaliyojaa fujo na povuHalafu atavuna nini?
Ni nani huyo?Hapo sasa mshangao na huku alishawahi kuja na akala likes za kutosha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wana roho za ????[emoji3] [emoji3]Nimegundua hizi likes zinawauma watu. Kuna mahali walipoona likes zangu wakapatwa na msongo wa kauli
Acha waumie tu, hapa ni full rahaSana zinawauma wanataman wawe nazo ila wanaona aibu kujileta huku wanaishia kuuchukia uzi wote