Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bob nakumis
Jana ulifika salama. Viv hajambo? Tutoe lile tangazo? Au mama viv tayari ashapatikana.
Umetafutwa sana bageshi mpaka wamesema eti umetokomea na mafaili ya intavyuu kwa lengo la kujipa umama Viv wewe mwenyewe. Ilibidi mpaka Andjul aje kupambana. Afadhali umerudi. Weka mambo sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom